YOUNG D Amewachana Dogo Janja na Young Killer, amewafananisha na demu wake wa zamani! mp3

Uploader: LilOmmyTV


Download (1)

Download (2)
Young D amesema kuwa Dogo Janja na Young Killer ukikutana nao wanakuchekea kwenye muziki wanaonekana wanakaza sana ila kwenye maisha halisi wako tofauti, wana feki na kumuimba yeye wanatafuta publicity. Amewafananisha na girlfriend wake wa zamani n kusema kuwa wote yeye alishawai kuwasaidia kabla hawajapata majina kwa kuwanganissha na wasanii na wadau kwenye game halafu leo anaona wanamchana! Tazama interview nzima ya Young D kwenye THE PLAYLIST Times FM #MadeinAfrica hakikisha una Subscribe kabisa ili uwe wa kwanza kupata zingine zote kali zikishuka tu. THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that. Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy. Subscribe, Watch, Share. Niguse kwenye social networks: http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.

Related Contents

 • IDRIS Sultan aeleza jinsi mkwanja wa BBA ulivopungua fasta, Hajawai kukutana na Harmonize!

  IDRIS Sultan aeleza jinsi mkwanja wa BBA ulivopungua fasta, Hajawai kukutana na Harmonize!

  MP3 File - 320 kbps - 02:11 minutes

  Play download 1 download 2

 • Bill Nass: Nandy / Ananisumbua TURUDIANE / Usiku Tunagombana SANA

  Bill Nass: Nandy / Ananisumbua TURUDIANE / Usiku Tunagombana SANA

  MP3 File - 320 kbps - 02:46 minutes

  Play download 1 download 2

 • LULU DIVA amemchana Linah kwneye wimbo wake mpya Give it to me, Na amesema YEYE na MADEE ni...

  LULU DIVA amemchana Linah kwneye wimbo wake mpya Give it to me, Na amesema YEYE na MADEE ni...

  MP3 File - 320 kbps - 03:52 minutes

  Play download 1 download 2

 • Part1 - Mwana FA - Wasanii wengi Bongo wanakiki kuliko Mziki wao! Amzungumzia ROMA na Mastori KIBAO.

  Part1 - Mwana FA - Wasanii wengi Bongo wanakiki kuliko Mziki wao! Amzungumzia ROMA na Mastori KIBAO.

  MP3 File - 320 kbps - 01:19 minutes

  Play download 1 download 2

 • Young Killer na Edo Boy wakipatanishwa kwenye XXL baada ya bifu na kupelekana polisi

  Young Killer na Edo Boy wakipatanishwa kwenye XXL baada ya bifu na kupelekana polisi

  MP3 File - 320 kbps - 05:21 minutes

  Play download 1 download 2

 • WHOZU: NIMEBAKI TU NA BOXER / GIGY MONEY FUNDI, NOMA KWA KUDANGA

  WHOZU: NIMEBAKI TU NA BOXER / GIGY MONEY FUNDI, NOMA KWA KUDANGA

  MP3 File - 320 kbps - 05:15 minutes

  Play download 1 download 2

 • Mh Temba - Fela alitaka kuachana na Muziki, Nilimpa wazo la kuanzisha MkubwaNaWanawe na Yamoto Band

  Mh Temba - Fela alitaka kuachana na Muziki, Nilimpa wazo la kuanzisha MkubwaNaWanawe na Yamoto Band

  MP3 File - 320 kbps - 05:09 minutes

  Play download 1 download 2